WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

Mkuu nakusaka huko inbox ninajambo lahitaji usaidizi nashindwa hebu nifungulie tafadhali
 
keyboard warrior.
Jaribu utajua Kama keyboard. Unawaza kuuwa kitu kigumu sana siyo?. Kama zinakuenea kichwani kwanini Mungu alikataza kulipa kisasi?.
Sababu alijua kufanya uovu kwa mwanadamu ni kitu rahisi kwake kuliko haki na mema.
Alijua hakuna anayeshindwa kukipa kisasi. Kwa Zakaria tarime mlilia Kama watoto wadoho na mkatoa vitambulisho bila kuulizwa na mtu baada ya kuona kigo hiki hapa.
 
Shida iko pale pale Jf ya sasa sio ile ya zamani, hii ilishauzwa
 
H
Hakuna cha miwani ya camera wala nini watoa taarifa za mashahidi wa siri wako humo humo kwenye mfumo,hakutakuwa na siri maana nchi kwa sasa imegawanyika sana.
Mi niko vijijini huku ila nashangaa wakulima wanamsikiliza mange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…