WanaJF ninaowakubali sana humu ndani

WanaJF ninaowakubali sana humu ndani

Status
Not open for further replies.
Kwanza Inategemea niko Jukwaa gani,
ila kwa ujumla wa majukwaa yote ya JF, Kiranga hajawahi kuniangusha katika michango yake!
Natamani siku moja nikutane naye!
Kiranga
 
Mkuu nakukubali sijawahi kuona sehemu ulipoandika boko

Kama binadam wengine na mie kuna wakati naandika mambo yanayoweza kuwakosesha amani wengine ila najitahidi nisiwakwaze endapo hakuna ulazima.

Kuna kanuni mbili za msingi sana:

1. Watendee wengine kama unavyotaka wao wakutendee.

2. Tulikuja bila kitu na tutaondoka bila kitu.

Naomba Mungu azidi kukubariki mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom