litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 642
- 1,303
Tumia panadol.....Dawa gani ya haraka haraka naeza kutumia apa?
Acha ubwege yaani unataka nikose msaadaMods
Jamani mnataka nikose msaada? Mgongo unauma balaa najipinda mno kuandika uzi hapaMods kula kichwa hiki na ufute uzi.
Kaombe msaada kwa kenge wenzio, hakuna kenge hapa jf bwege weweAcha ubwege yaani unataka nikose msaada
Mgongo unauma sana. Now natype kwa ukuchaKaombe msaada kwa kenge wenzio, hakuna kenge hapa jf bwege wewe
Ndugu zako hawa hapa KENGE 01 kenge 10Natanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega.
Namimi kutahamaki nimegeuka kenge, [emoji24] yaani ikabidi niiume simu meno na kuibeba mpaka mezani ukizingatia nilikua mfupi mno kuufikia uso wameza.
Hapa nimejipinda naumia kweli kweli kwani nafosi kutype kwakutumia mkia wangu, natype taratibu nisije nikakwaruza kioo na kucha nikakosa msaada.
NB: Najielewa kuongea tu ndo siwezi. Dawa gani ya haraka haraka naweza kutumia hapa?
Najielewa kuongea tu ndo siwezi. Dawa gani ya haraka haraka naweza kutumia hapa?