WanaJF nisaidieni nimechepuka na mke wa mtu

Natanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega.

Namimi kutahamaki nimegeuka kenge, [emoji24] yaani ikabidi niiume simu meno na kuibeba mpaka mezani ukizingatia nilikua mfupi mno kuufikia uso wameza.

Hapa nimejipinda naumia kweli kweli kwani nafosi kutype kwakutumia mkia wangu, natype taratibu nisije nikakwaruza kioo na kucha nikakosa msaada.

NB: Najielewa kuongea tu ndo siwezi. Dawa gani ya haraka haraka naweza kutumia hapa?
Kumbe kenye haunijuiiiiiii eeeeehh eeehhh.😂
 
KICHAA KINATIBIKA MKUU
 
KICHAA KINATIBIKA MKUU
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega.

Namimi kutahamaki nimegeuka kenge, [emoji24] yaani ikabidi niiume simu meno na kuibeba mpaka mezani ukizingatia nilikua mfupi mno kuufikia uso wameza.

Hapa nimejipinda naumia kweli kweli kwani nafosi kutype kwakutumia mkia wangu, natype taratibu nisije nikakwaruza kioo na kucha nikakosa msaada.

NB: Najielewa kuongea tu ndo siwezi. Dawa gani ya haraka haraka naweza kutumia hapa?
Nenda katumbukie mtoni utapona
 
Back
Top Bottom