WanaJF nisaidieni nimechepuka na mke wa mtu

WanaJF nisaidieni nimechepuka na mke wa mtu

Sasa wee kenge mtu ushaona kenge anakuwa mtu maisha kila sehem nyie ndendeni tu mkaishi mtoni ila chondechonde msile vifaranga wa jirani
 
Natanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega.

Namimi kutahamaki nimegeuka kenge, [emoji24] yaani ikabidi niiume simu meno na kuibeba mpaka mezani ukizingatia nilikua mfupi mno kuufikia uso wameza.

Hapa nimejipinda naumia kweli kweli kwani nafosi kutype kwakutumia mkia wangu, natype taratibu nisije nikakwaruza kioo na kucha nikakosa msaada.

NB: Najielewa kuongea tu ndo siwezi. Dawa gani ya haraka haraka naweza kutumia hapa?
Usituharibie swaumu zetu tafadhali.. bwana kenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
OMG lemme laugh..in Africa we have a long way to go
Ngoja nikusaidie kucheka maana nimecheka mpaka machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi kbsa Ni upuuzi wa kiwango Cha lami

Mjinga sna huyu kijana alifu eti ndio kijana anategemewa kuleta chachu ya maendeleo
Mpeni msaada jamani. Ameshasema mgongo unamuuma mno mpeni msaada wa haraka
 
Nchi hii imejaa watu wajinga sana..
FB_IMG_1680803045348.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom