Angalia usije ukamtamani mwanaume mwenzio,kuna watu humu ni ME lakini wanatumia ID za kike
Muache my bebezMimi huyu miss chagga sema anapenda hela
Nawe si utafute pesa!!Mimi huyu miss chagga sema anapenda hela
Wow... Kamoyo kamedunda.. Ninayo rubiiMuulize ana iphone 7??
Wow... Kamoyo kamedunda.. Ninayo rubii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh, ninayemu admire secretly naona tayari yuko deep in conversation na jamaa!
Damn you man!!
Mke mwenza yameanzi lini tena hayo?Mie nampenda sana mwanamke mwenzangu, nitamtaja baadae.
Unakapendaje?Mmmh huku kupendana hata she kwa she mfafanuo PSE coz kuna kabinti nakapendaga xana!!