WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Binafsi nampenda sana [HASHTAG]#mliquid[/HASHTAG] yaani hata ndoa natanganza akiona uzi huu akakubali tujenge a Palace of mahabatious!
🙂😛
 
Angalia usije ukamtamani mwanaume mwenzio,kuna watu humu ni ME lakini wanatumia ID za kike


Haaaa haaaa haaaa haaaa haaaa teeeh teeeh.
Imebidi nicheke kisha nikupe like yako mubashara kabisa.

Hiyo ikitokea basi "mbwa anakuwa Kala mbwa"
 
Ujingaujinga mtupu,utamtamanije mtu usiyemjua?asilimia tisini na tisa tunatumia fake id,picha tunazoweka avatar sio zetu na Kuna ambao hata gender sio ya kwel,unamtamanije mtu kama huyo?au Kuna watu wanajuana humu pengine Wana urafiki nje ya hapa ndipo wanapoonana na kutamaniana?otherwise its crazy kwakwel
 
Duh, ninayemu admire secretly naona tayari yuko deep in conversation na jamaa!
Damn you man!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani imebidi nicheke!!
Mfungukie tu, unaweza okota dodo chini ya mnazi.
 
Back
Top Bottom