Yule atakufwa akiona hapo. Ngoja ajeMimi nimeona, ila mke mwenza sijui kama ameona. Rogie vipi huyo nae mke mwenzetu?
Sasa my lavu wangu hii ya kuchit chat na wake za watu hujui ndio unajenga mazoea mwisho muanze kutongozana!!Hapana my love, nilikuwa Chit Chatting tu. I love you more than I love myself.
Bora hata mimi mwenzie i can tongoza anaza, yeye sasa atabaki analia tu.
Sasa my lavu wangu hii ya kuchit chat na wake za watu hujui ndio unajenga mazoea mwisho muanze kutongozana!!
Mke mwenza yuko wapi? Ujue ulimuudhi!! Ushaomba msamaha?Ninavyowapenda wake zangu siwezi tongoza mwingine abadani, nimeacha kabisa chit chat saivi.
Nadhani atakuwa ametingwa tu na majukumu.Mke mwenza yuko wapi? Ujue ulimuudhi!! Ushaomba msamaha?
Akija uniite nione reaction yakeBora hata mimi mwenzie i can tongoza anaza, yeye sasa atabaki analia tu.
Basi msalimie sana mwambie nimemmiss.Nadhani atakuwa ametingwa tu na majukumu.
Hakuna aliyenificha, naona msimu Wa baridi umeshamiri na Ndugu tumepoteana.
Yaani huu msimu noma sana. Mie sijafichwa nipo nimejaa tele!!Hakuna aliyenificha, naona msimu Wa baridi umeshamiri na Ndugu tumepoteana.
Usifichwe kwa kiwango hicho.
Umejaa wapi?Yaani huu msimu noma sana. Mie sijafichwa nipo nimejaa tele!!
Valentina naona sijui umewapa nini kaka zangu wanakugombania tu. Mara Saint Ivuga na Daby, huyu nae kakuelewa. Haya sasa kazi kwako.Kizuri nitakula na ndugu yangu, kama Daby kaachwa mwambie aje kwangu damu isiende mbali hiyo mbegu tunakazi nayo huku kwenye ukoo[emoji4]
Hahahaaa!! Wewe jua likitoka ndio unatoka ndio maana unaniona, ila nakuwa nipo hata kabla ya jua.Umejaa wapi?
Kuonekana ni hadi jua litoke alafu ndio unasema umejaa tele?