WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Hapana my love, nilikuwa Chit Chatting tu. I love you more than I love myself.
Sasa my lavu wangu hii ya kuchit chat na wake za watu hujui ndio unajenga mazoea mwisho muanze kutongozana!!
 
Ninavyowapenda wake zangu siwezi tongoza mwingine abadani, nimeacha kabisa chit chat saivi.
 
Back
Top Bottom