WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Haha haha!!

Micheps kwa sasa ni inevitable otherwise anaweza pata msongo Wa Umeme Zaidi ya Ule Wa Kinyerezi.

Kwa demi nakaribia kufika, tatizo lake amekubali idadi kubwa ya waombaji kuliko nafasi zilizopo kwenye ofisi yake.
Jamaniii, moyo wangu unapendapenda sa mi nifanyeje
 
Haha haha!!

Micheps kwa sasa ni inevitable otherwise anaweza pata msongo Wa Umeme Zaidi ya Ule Wa Kinyerezi.

Kwa demi nakaribia kufika, tatizo lake amekubali idadi kubwa ya waombaji kuliko nafasi zilizopo kwenye ofisi yake.
Ohoooo!! demi unasingiziwa mama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…