Mie daku langu nakula mwisho saa 11 alfajiriUtakuwa huwa unapitiliza na kuiacha daku wewe .
Kwq hiyo umeona hii ndiyo strategy.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha na li tecno lako kubwa
Nikaliangalia li tecno wereva langu hapa limejaa mkononi halijaacha Hata space. Nikasema duh!!! Vita dhidi ya tecno wereva haijawahi kumuacha mtu salama,nikaona not to that extent bora ni mute tuHahah nilisoma ule uzi wote nilicheka saana.
Kuna jamaa alisema mijitu inatusumbua na mitecno yao mikubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani wewe ningekuquote tu, tungekula wote ban[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hs muoga huyooo, alikuwa mpoleee akaomba msamaha akawa anapita kimya kimya tu, hakuthubutu kukoment. Nilipigwa ban mimi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakujijua. Wakaweka na mpwa nikajua hii ni Daby na shoga Nguo relato tu.
Huyo popote lazima anitaje kimafumbo hata thread zingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulitajwa kimafumbo bwana, hukuona oooh, dota,mamdogo,bamdogo,auntie,my wii....... we unadhani humo unakosekana kweli!!!!
Haha.Hakujijua. Wakaweka na mpwa nikajua hii ni Daby na shoga Nguo relato tu.
Huyo alikuwa hana njaa....watu tunakula msosi mahabusu na kesi iko mahakamani.Sasa sijui mtu akipigwa ban yeye anapata faida gani. Uzi wenyewe sasa bora uwe wa maana sasa mfyuuuuu!!! Eti mtu hadi chai hanywi eti kakasirika kisa watu wamechat kwenye uzi wake, huyo si anahitaji daktari!!!
Duh!!!relato huko maporini huko,na kazi zao zisizotabirika.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lerato yuko wapi?
Acha tulisubiri nikusaidie kulila.Mie daku langu nakula mwisho saa 11 alfajiri
[emoji3][emoji3][emoji3]Nikaliangalia li tecno wereva langu hapa limejaa mkononi halijaacha Hata space. Nikasema duh!!! Vita dhidi ya tecno wereva haijawahi kumuacha mtu salama,nikaona not to that extent bora ni mute tu
M.P ndio nani?Mzee mzee umeamkia wap leo lakin
Ha ha ha ha. Na kuna mtu alishawahi kukupa za Uso kwamba unaharibugi Uzi wa mtu unaanzisha story na watu,ukasema hutorudia.nikacheeekaaa kweli kweli,siku ya pili nakukuta na mpwa wako [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha.
Huu ugonjwa siwezi kuacha labda niondoke JF.
Web ipi??Yeah, ukifungua kwenye web ndio unakuta umeambiwa ni kwanini umepigwa ban na ni ya muda gani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukumbuke kuwah mapema kesho thatha....tukapate na ubuyu[emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani huku ndio kutawafanya wasiwashwe mwili mzima......[emoji13] [emoji13] [emoji13]