WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

[emoji170] Habari Tanzania
[emoji843]Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania.
[emoji843]Page itakua na habari zote muhimu kwa ajili yako mnazi wa chelsea
[emoji843]Mawazo yenu ni muhimu kama ilivo support yenu
[emoji843][emoji91]tegemea surprise na event nyingi msimu wa 2017/2018
[emoji843]naomba mnisaidie kushare ujumbe huu kwa wote
Inapatikana
[emoji117] chelseafc.tanzania
[emoji117] Instagram
[emoji778] welcome all [emoji778]
 
Hahah nilisoma ule uzi wote nilicheka saana.

Kuna jamaa alisema mijitu inatusumbua na mitecno yao mikubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaliangalia li tecno wereva langu hapa limejaa mkononi halijaacha Hata space. Nikasema duh!!! Vita dhidi ya tecno wereva haijawahi kumuacha mtu salama,nikaona not to that extent bora ni mute tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu wamenifurahisha sana humu leo! Awaz kinda down tuday....thanx Jf memberz[emoji120]muwe na uck mwema[emoji8]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulitajwa kimafumbo bwana, hukuona oooh, dota,mamdogo,bamdogo,auntie,my wii....... we unadhani humo unakosekana kweli!!!!
Huyo popote lazima anitaje kimafumbo hata thread zingine

Leo nilivyokuwa hovyo mtu angenitaja lazima ningekula ban pia.
 
Sasa sijui mtu akipigwa ban yeye anapata faida gani. Uzi wenyewe sasa bora uwe wa maana sasa mfyuuuuu!!! Eti mtu hadi chai hanywi eti kakasirika kisa watu wamechat kwenye uzi wake, huyo si anahitaji daktari!!!
Huyo alikuwa hana njaa....watu tunakula msosi mahabusu na kesi iko mahakamani.
Angetaka uzi wa peke yake, angeenda Pm na hawara yake wa kiume/kike.
Asa kaja jukwaani kutafuta nini....mxyiuuuuu zake huko aliko.
Hebu mtag hapa tumchane
 
Back
Top Bottom