WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Ha ha ha ha. Na kuna mtu alishawahi kukupa za Uso kwamba unaharibugi Uzi wa mtu unaanzisha story na watu,ukasema hutorudia.nikacheeekaaa kweli kweli,siku ya pili nakukuta na mpwa wako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa hata nikisema niwe serious kuna hawa watu Asprin atakuqoute utacheka. Espy atakutania. Shunie na sakayo ndiyo kabisa relato naye atanitania anko nakuona.

Mtu unajikuta umejisahau gafla mpo nje ya mada.
 
Nikaliangalia li tecno wereva langu hapa limejaa mkononi halijaacha Hata space. Nikasema duh!!! Vita dhidi ya tecno wereva haijawahi kumuacha mtu salama,nikaona not to that extent bora ni mute tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa hata nikisema niwe serious kuna hawa watu Asprin atakuqoute utacheka. Espy atakutania. Shunie na sakayo ndiyo kabisa relato naye atanitania anko nakuona.

Mtu unajikuta umejisahau gafla mpo nje ya mada.
Ha ha ha ha ha
Ila kweli kabisa. Na Nina bahati relato hapatikaniki,tungekuwa kwenye list leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyo popote lazima anitaje kimafumbo hata thread zingine

Leo nilivyokuwa hovyo mtu angenitaja lazima ningekula ban pia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora tungekula ban wote tuishie kuchungulia tu. Tungeanzisha kagroup ketu whatsapp ka kujifariji.
 
Huyo alikuwa hana njaa....watu tunakula msosi mahabusu na kesi iko mahakamani.
Angetaka uzi wa peke yake, angeenda Pm na hawara yake wa kiume/kike.
Asa kaja jukwaani kutafuta nini....mxyiuuuuu zake huko aliko.
Hebu mtag hapa tumchane
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We tulichat tu akashinda njaa kwa hasira, tukimtag si ndio tutamkuta kataga kabisa!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora tungekula ban wote tuishie kuchungulia tu. Tungeanzisha kagroup ketu whatsapp ka kujifariji.
Mimi nina I'd yangu ya Jinja malon tena picha ile ile.
 
Acha tulisubiri nikusaidie kulila.

Ila nisije nikawa nakesha kusubiri ugali maharage.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hilo ndilo lenyewe sasa!!
 
Kuna siku walikula ban karibia wote hadi Saint Ivuga siku hizi kawa mpole .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapi huko???waliyatenda haswa hawa watu. Mie sijawahi kupata ban,nikiipata nitaugua jamani. Kuimiss jf kila sekunde Yaani.
 
Ha ha ha ha. Na kuna mtu alishawahi kukupa za Uso kwamba unaharibugi Uzi wa mtu unaanzisha story na watu,ukasema hutorudia.nikacheeekaaa kweli kweli,siku ya pili nakukuta na mpwa wako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mie ile siku nilijisemea hii ahadi kama za CCM ahadi hewa, ndio maana mimi leo niligoma kuahidi ahadi hewa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Ulikuwa uzi wa Allepo sasa alilalamika kama mtoa mada wa leo cha ajabu watu wa mwanzoni wakataja Daby ndiyo tabia zake.

Sasa kina Inna, shunie, vale husna, sumbai stun wakaendeleza. Wote wakapigwa ban. Siku hiyo iliitwa siku ya ban
 
Sasa hata nikisema niwe serious kuna hawa watu Asprin atakuqoute utacheka. Espy atakutania. Shunie na sakayo ndiyo kabisa relato naye atanitania anko nakuona.

Mtu unajikuta umejisahau gafla mpo nje ya mada.
Alafu wasichojua nikuwa hutokea tu automatic kama umezoeana na watu, hauplan kuchafua uzi. Unakuta mtu haujamuona kitambo ghafla unamkuta ktk uzi kakoment, unajikuta mnalianzisha. Wakati mwingine mada ndio inakufanya mnajikuta mshaanza chit chat. Sasa mwingine akiona hivyo tayari anawashwa mwili mzima lol!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…