Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Hahaahahh....eti ukoo mzima.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tutakuta tumepigwa ban ukoo mzima.
Na kweli maada Ma-Mods wenyewe washafuturu, basi tafrani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahahh....eti ukoo mzima.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tutakuta tumepigwa ban ukoo mzima.
Sasa hata nikisema niwe serious kuna hawa watu Asprin atakuqoute utacheka. Espy atakutania. Shunie na sakayo ndiyo kabisa relato naye atanitania anko nakuona.Ha ha ha ha. Na kuna mtu alishawahi kukupa za Uso kwamba unaharibugi Uzi wa mtu unaanzisha story na watu,ukasema hutorudia.nikacheeekaaa kweli kweli,siku ya pili nakukuta na mpwa wako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikaliangalia li tecno wereva langu hapa limejaa mkononi halijaacha Hata space. Nikasema duh!!! Vita dhidi ya tecno wereva haijawahi kumuacha mtu salama,nikaona not to that extent bora ni mute tu
Ha ha ha ha haSasa hata nikisema niwe serious kuna hawa watu Asprin atakuqoute utacheka. Espy atakutania. Shunie na sakayo ndiyo kabisa relato naye atanitania anko nakuona.
Mtu unajikuta umejisahau gafla mpo nje ya mada.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo popote lazima anitaje kimafumbo hata thread zingine
Leo nilivyokuwa hovyo mtu angenitaja lazima ningekula ban pia.
Kuna siku walikula ban karibia wote hadi Saint Ivuga siku hizi kawa mpole .Ha ha ha ha ha
Ila kweli kabisa. Na Nina bahati relato hapatikaniki,tungekuwa kwenye list leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo alikuwa hana njaa....watu tunakula msosi mahabusu na kesi iko mahakamani.
Angetaka uzi wa peke yake, angeenda Pm na hawara yake wa kiume/kike.
Asa kaja jukwaani kutafuta nini....mxyiuuuuu zake huko aliko.
Hebu mtag hapa tumchane
Mimi nina I'd yangu ya Jinja malon tena picha ile ile.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora tungekula ban wote tuishie kuchungulia tu. Tungeanzisha kagroup ketu whatsapp ka kujifariji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha tulisubiri nikusaidie kulila.
Ila nisije nikawa nakesha kusubiri ugali maharage.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapi huko???waliyatenda haswa hawa watu. Mie sijawahi kupata ban,nikiipata nitaugua jamani. Kuimiss jf kila sekunde Yaani.Kuna siku walikula ban karibia wote hadi Saint Ivuga siku hizi kawa mpole .
Hata mie ile siku nilijisemea hii ahadi kama za CCM ahadi hewa, ndio maana mimi leo niligoma kuahidi ahadi hewa.Ha ha ha ha. Na kuna mtu alishawahi kukupa za Uso kwamba unaharibugi Uzi wa mtu unaanzisha story na watu,ukasema hutorudia.nikacheeekaaa kweli kweli,siku ya pili nakukuta na mpwa wako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Liugali maharage? Unahitaji ban tena wewe.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hilo ndilo lenyewe sasa!!
Ukiingia jf kwa kupitia web sio kwa app.Web ipi??
Wa wap tena jmn??[emoji16][emoji16][emoji16]Yule jamaa yako asije kuweka pingamizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeizoea eeh?
Bora wakiwa na swaumu wanakuwa wapole.Hahaahahh....eti ukoo mzima.
Na kweli maada Ma-Mods wenyewe washafuturu, basi tafrani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wapi huko???waliyatenda haswa hawa watu. Mie sijawahi kupata ban,nikiipata nitaugua jamani. Kuimiss jf kila sekunde Yaani.
Baby ake S[emoji8][emoji8]
Alafu wasichojua nikuwa hutokea tu automatic kama umezoeana na watu, hauplan kuchafua uzi. Unakuta mtu haujamuona kitambo ghafla unamkuta ktk uzi kakoment, unajikuta mnalianzisha. Wakati mwingine mada ndio inakufanya mnajikuta mshaanza chit chat. Sasa mwingine akiona hivyo tayari anawashwa mwili mzima lol!!!!Sasa hata nikisema niwe serious kuna hawa watu Asprin atakuqoute utacheka. Espy atakutania. Shunie na sakayo ndiyo kabisa relato naye atanitania anko nakuona.
Mtu unajikuta umejisahau gafla mpo nje ya mada.