Nimekuja niambieCc dinazarde ebu njoo uku mpendwa
hapana unanisingizia aseeNyota yako ni ya Bashite mkuu
Tutaonana ni lini maana navyokupenda ni hatariNimekuja niambie
Nasi tunakupenda pia.Kwa kweli mimi ni mgeni humu ila nawapenda wote
Sasa sijui mtu akipigwa ban yeye anapata faida gani. Uzi wenyewe sasa bora uwe wa maana sasa mfyuuuuu!!! Eti mtu hadi chai hanywi eti kakasirika kisa watu wamechat kwenye uzi wake, huyo si anahitaji daktari!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We tulichat tu akashinda njaa kwa hasira, tukimtag si ndio tutamkuta kataga kabisa!!!
Akitaga tunalikaanga kabisa na kulila.
Au kamba mguuni nini....hajui tofauti ya tui na maziwa?
Ahsante my kaka. [emoji120] [emoji120] [emoji120] .[emoji7]
HahahahahaHahahah!, haki nyie! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilitingwa tu mdogo wangu ila katika wale ninao wapenda nawewe ni mmoja wao.Hakuna anayenipenda hata ww ndungu yangu Kichwa Kichafu na we dada emmyta hata cicie ukhuty basi me nawapenda sanaa
Yeah, sometimes....[emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yo so funny!!
Am weitin 4ur col[emoji13]Nikupigie basi kabla hujalala japo nisikie sauti yako ili namm nilale kwa raha
Sweets ndio waamka?Hivi wewe!...[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahah!, haki nyie! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]