WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Sasa sijui mtu akipigwa ban yeye anapata faida gani. Uzi wenyewe sasa bora uwe wa maana sasa mfyuuuuu!!! Eti mtu hadi chai hanywi eti kakasirika kisa watu wamechat kwenye uzi wake, huyo si anahitaji daktari!!!


Hivi wewe!...[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We tulichat tu akashinda njaa kwa hasira, tukimtag si ndio tutamkuta kataga kabisa!!!

Akitaga tunalikaanga kabisa na kulila.
Au kamba mguuni nini....hajui tofauti ya tui na maziwa?


Hahahah!, haki nyie! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahah!, haki nyie! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha
Mtoa uzi anazila kisa wachangiaji wamekutana.

Mie kila siku nasema, jukwaani ni kama ukumbi wa harusi au mkutano.
Ukikutana na mates zako lazima mpige story za kukumbushiana enzi za shule au chuo.
 
Back
Top Bottom