[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaha
Mtoa uzi anazila kisa wachangiaji wamekutana.
Mie kila siku nasema, jukwaani ni kama ukumbi wa harusi au mkutano.
Ukikutana na mates zako lazima mpige story za kukumbushiana enzi za shule au chuo.
Kisa ni ule ule uzi wa wawashwaji.my dear ilikuwaje wakakufungia
nilikua nishakumis
Kwakweli bora nipate mke mwenza.ukiondoa hicho kitambi naweza kukupa second chance
Ndiyo woooteHadi mm unanipenda[emoji4]
Pole my dada kwa ya jana.Kisa ni ule ule uzi wa wawashwaji.
Miss you more sweetheart.
Hata mimi wanisubir....?[emoji41] [emoji41] [emoji41] mnaonipenda nawasubiri hapaaa[emoji575]
Nishapoa my dear, good morning.Pole my dada kwa ya jana.
Ila watu wana mambo?
Sweets ndio waamka?
How are you?
Good Morning to u too my dada. Umeamka salama?Nishapoa my dear, good morning.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu uliyemtaja mi najua ndo wifi yangu hako kakituko kengine sijui umekatoa wapi
Hahaaaa!! Ban sio kitu kizuri kqbisa. Alafu jana sijui ulipotelea wapi? Nani anakuficha?Ndo naamka dear..
Am good thanks!, good to see U back! 🙂
Salama kabisa, namshukuru Mungu.Good Morning to u too my dada. Umeamka salama?
Poa poa my dadaSalama kabisa, namshukuru Mungu.