WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Hahahahaha
Mtoa uzi anazila kisa wachangiaji wamekutana.

Mie kila siku nasema, jukwaani ni kama ukumbi wa harusi au mkutano.
Ukikutana na mates zako lazima mpige story za kukumbushiana enzi za shule au chuo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tabia za kuzira zira sio nzuri kabisa.
 
Mimi nampenda dada mmoja anaitwa Madame B
Sijui atakuwa ni Brenda, Birigita, Bhoke, Badra, Batilda, Burka, Barbra, Batuli, Bukele, au nani sijui ...[emoji307] [emoji307] [emoji181]
 
Back
Top Bottom