WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Umeamshwaje wapendanao.... Sio kwa kudamka huko jamani... Madame B, espy, Bonny, Nalendwa, Mondray, Heaven Sent, Shunie, Emmyta, Daby na nk naona mnapendana tuu...

Wacha watu wanune
Na wanaume tu.
Hamna namna.
Tumeamka salama tu.
Wengineo bado wamelala
 
Umeamshwaje wapendanao.... Sio kwa kudamka huko jamani... Madame B, espy, Bonny, Nalendwa, Mondray, Heaven Sent, Shunie, Emmyta, Daby na nk naona mnapendana tuu...

Wacha watu wanune
shikamoo Dada umeamkaje lakini
 
Nawapenda wote, ila huyu naniiihii.. Nani tena, nanihii... emmyta ananimaliza nguvu za moyo, ananipa za kichwa cha chini tu
 
Sana mpendwa.
Halafu sasa, unajikuta mambo ya business ndio wanaenda ongelea bar...huwezi kukwepa

Na ukifika lazima unywe.
Majaribu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na usipokunywa unakuwa haujajitendea haki kabisa.
 
Hahaha.....hii kauli yako imenikumbusha miaka ya nyuma.
Mbaba wa watu anahitaji kuniongeza mke wa pili, kisa mkewe hamridhishi kitandani.
Nikasema nitajuaje anachokikimbia mke wa kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe usipomridhisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…