Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Oooh
Vizuri sana mkaka, mbona hukukimbia na wewe sasa
Mie mtazamaj tu nilikua naangalia zile nyama nyama zikiwa zinaruka ruka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh
Vizuri sana mkaka, mbona hukukimbia na wewe sasa
AiseeMie mtazamaj tu nilikua naangalia zile nyama nyama zikiwa zinaruka ruka
Aisee
We ni changamoto
Huo ushabiki sio wa nchi hii jamaniHa ha ha kwann sasa sio lazma wote tuwe wachezaj wengne mashabik tu
Huo ushabiki sio wa nchi hii jamani
Basi endelea kuangalia mkakaKuangalia mazoez raha sana aisee
Basi endelea kuangalia mkaka
Tena mara mbili kwa siku ka dozi, ila kuangaliwa sitaki kabisaa labda tuwe wote kwenye zoeziWe hufany zoez nije nkuangalie
Na wanaume tu.Umeamshwaje wapendanao.... Sio kwa kudamka huko jamani... Madame B, espy, Bonny, Nalendwa, Mondray, Heaven Sent, Shunie, Emmyta, Daby na nk naona mnapendana tuu...
Wacha watu wanune
kesho tunaenda woteNmeshaamk mdada nilikua namuangalia madame b akiwa anafanya mazoez hii asubh
Dada[emoji41] [emoji41] [emoji41] mnaonipenda nawasubiri hapaaa[emoji575]
Tena mara mbili kwa siku ka dozi, ila kuangaliwa sitaki kabisaa labda tuwe wote kwenye zoezi
shikamoo Dada umeamkaje lakiniUmeamshwaje wapendanao.... Sio kwa kudamka huko jamani... Madame B, espy, Bonny, Nalendwa, Mondray, Heaven Sent, Shunie, Emmyta, Daby na nk naona mnapendana tuu...
Wacha watu wanune
Tena ninapenda sana wadada wanaofanya mazoezi...karibu sana huku ufukweni kigamboni tufanye joggingNiko hapa Airtel mdogomdogo narejea home
Nimechoka kama mbwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sana mpendwa.
Halafu sasa, unajikuta mambo ya business ndio wanaenda ongelea bar...huwezi kukwepa
Na ukifika lazima unywe.
Majaribu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha.....hii kauli yako imenikumbusha miaka ya nyuma.
Mbaba wa watu anahitaji kuniongeza mke wa pili, kisa mkewe hamridhishi kitandani.
Nikasema nitajuaje anachokikimbia mke wa kwanza.