Nani huyo kaniwahi..??nawapenda woteeeee
[emoji115][emoji41] [emoji41] [emoji41] mnaonipenda nawasubiri hapaaa[emoji575]
Ckucheki bhna.....nakufurahiaUnanicheka sio....sawa
Shoga ake espy nakusalimu.Haha!, eti bado wamefungiwa viunoni. Wavitunze tu hivyo viuno ili watoto watoke salama. [emoji2]
HahahaSawa hakuna shida ila ntakua nakimbia kwa nyuma yako nakulinda
Nipo mdogo wangu...shikamoo Dada umeamkaje lakini
Shangaa na wewe antiMapendoooooo, daima. Maisha yenyewe mafupi haya why tuyatumie kuchukiana!!!!
Shoga ake espy nakusalimu.
Wakufwee tuuKweli, maana hakuna namna [emoji1]
Dah..!Asante jamaan NIYOMBARE nakupenda pia
Ewoo... ChinekeneeAbomination
Kwema bwana Mwenye heri anasaidia naona na wewe umekuja kwenye uzi wa wapendao.Salama salimini mdogo wake, kwako je?!
Za muda huu shemejiEwoo... Chinekenee
Kwema bwana Mwenye heri anasaidia naona na wewe umekuja kwenye uzi wa wapendao.
Nimetafuta sehemu ulioandika unanipenda sijaiona.