No ugomvi mbona!Duh...utaacha watu wapigane...maana mmwaaa ya wote ni ugomvi huo....chaguo mmoja tu umchumu[emoji38] [emoji38]
AsanteNakupenda ww hapo
Kwani nikihama ujirani unakufa?Mie nilikuwa nakuangalia tu jiran ambavyo ulikuwa unatenda dhambi ya usaliti
Hapana, kahamia kabisa.Kila siku anaenda na kurud
Kwan tafsir ya ujirani ni ipi swahiba?Kwani nikihama ujirani unakufa?
Kwani unataka kukumbushia?Kukumbushia ipo...
You are back!Nini kaka
Oooh!!Walinzi ni uamuzi wako, ukitaka wanaondoka.
Nikajua hata nikihama unabaki kuwa jirani tu swahiba.Kwan tafsir ya ujirani ni ipi swahiba?
Nan atakuanulia zile nguo zako lakin?Nikajua hata nikihama unabaki kuwa jirani tu swahiba.
Kuanza upya nako huwa kazi sana, huko kwenye walinzi labda wataanua walinzi.Nan atakuanulia zile nguo zako lakin?
Ha ha ha kwahyo Jiran wewe ni rahis kushawishika enhee??Kuanza upya nako huwa kazi sana, huko kwenye walinzi labda wataanua walinzi.
Ila jirani kule nako kodi imepunguzwa, pana ushawishiii.
Kuanza upya nako huwa kazi sana, huko kwenye walinzi labda wataanua walinzi.
Ila jirani kule nako kodi imepunguzwa, pana ushawishiii.
Kama kuna kibibi chochote niitie.Mwanadamu ameumwa na roho ya kupenda.
Upendo ni amri kuu kuliko zote kama unampenda mtu wa Humu JF mwambie ajue kuwa anapendwa kupendwa raha jamani.
Ndio jirani, we ukipunguziwa kodi haushawishiki?Ha ha ha kwahyo Jiran wewe ni rahis kushawishika enhee??
Kweli kabisa shemeji.Tena usawa huu wa Magu, punguzo ni la muhimu sana.