WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Kuanza upya nako huwa kazi sana, huko kwenye walinzi labda wataanua walinzi.
Ila jirani kule nako kodi imepunguzwa, pana ushawishiii.
Ha ha ha kwahyo Jiran wewe ni rahis kushawishika enhee??
 
Kuanza upya nako huwa kazi sana, huko kwenye walinzi labda wataanua walinzi.
Ila jirani kule nako kodi imepunguzwa, pana ushawishiii.

Tena usawa huu wa Magu, punguzo ni la muhimu sana.
 
Back
Top Bottom