Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Smart911, naomba uvumilivu u-take place....najiona hivi hivi unanichukulia tulizo wa Moyo...
Mungu anakuona ujue...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Smart911, naomba uvumilivu u-take place....najiona hivi hivi unanichukulia tulizo wa Moyo...
Twapendana nae......sijui kakimbilia wapi, itakuwa anawahi kufuturu.
Nawahi si unajua muda wa kupika futari huuMbona mbio mpendwa [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapana aisee, mie ilibidi niyaoge tuuKabisa my wi si unajua tena wifi yako mi na mapovu ni vitu viwili tofauti [emoji23]
Hahaha
Ukiivisha nistue [emoji39]Nawahi si unajua muda wa kupika futari huu
Usijali [emoji23]Ukiivisha nistue [emoji39]
Umeonaee. [emoji23] [emoji23]Hapana aisee, mie ilibidi niyaoge tuu
We najua muoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ninavyopenda mabusuu, Nimejikuta na like tuu
kwahiyo ungetuwowa wote mkuu jamaanHawa watu nawapenda mno.
Kama ningekuwa muislam basi Ile Big 4 wangekuwa;-
Jovitha
Miss Chagga
Shunie
Miss Moneytalk.
kuna watu ni walinzi humu kufatilia watu wameingia wapi na wapi kazi wanayoWap tena mkuu
na mm naomba liftEwaaaa
Asante mkaka
Lift ntakupa mpaka ukatae
me nasoga tofautiSio katuita tupige soga kweli [emoji125] [emoji125] [emoji125]
kho kho khoNmependa unachokipenda
Dada sakayo kaharibu wapiii kaka yetu[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23] [emoji23]Nina moyo wa kitajir napenda kila nafsi
[emoji23]me nasoga tofauti
[emoji85] [emoji85] kweli dada[emoji23]