Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Likobe likubwa hilo... Afuturu nini sasa!?Twapendana nae......sijui kakimbilia wapi, itakuwa anawahi kufuturu.
hahaha huu si utakua kama msiba sasa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uuuuwiiih..imba usinipite mwokozi..
Hahahana mm naomba lift
Shangaa na weweDada sakayo kaharibu wapiii kaka yetu
HahahaUmeonaee. [emoji23] [emoji23]
Nilikuona my wi uko vizuri
kho kho kho
si bado hawajaanza kutoaHahaha
We Noah yako hujaenda kuidai tuu
na mm naomba lift
hahhaha sijui kamchokoza naniShangaa na wewe
kuna watu ni walinzi humu kufatilia watu wameingia wapi na wapi kazi wanayo
Hahaha
Kumbe eeeh, uwe unanikumbusha jamani.. Ila Bonny ni lift tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuonaAcha tu shunie
HahahaVp mama
sawa [emoji40] [emoji40]Utaahirbu shuhul utulie bas
Heee. Sina habari my wiHahaha
Nimeona antie kapewa ban jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona
wapi huko mpaka shangaziHahaha
Yaani wewe na Ray mmenifanya nishindwe kufuturu kwa cheko...
Mpaka espy kapewa ban sababu yenuu
Nasikia unaanza kuchagua rangi kwanzasi bado hawajaanza kutoa
AiseeUtaahirbu shuhul utulie bas