WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

kweli dada ujue ujue huyo aliyemwambia bonny kuna sehem amemuona jana alinikuta huku chit chat akaniambia mpaka huku leo kaniquote makapuku sijakuona kwenye uzi wa kutoa like hivi huyo si mlinzi tena anakufatilia kabisa umeingia wapi na wapi
 
Nampenda alo type yangu,asotype yangu nitajiridhisha tu,
HAhA
 
kweli dada ujue ujue huyo aliyemwambia bonny kuna sehem amemuona jana alinikuta huku chit chat akaniambia mpaka huku leo kaniquote makapuku sijakuona kwenye uzi wa kutoa like hivi huyo si mlinzi tena anakufatilia kabisa umeingia wapi na wapi
Hahaha
Yule nilimjibu mbovuu asubuhi... Hajathubutu tena kuniquote
 
Back
Top Bottom