WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Miss Chaga, Miss Natafuta, Kasie, Sky Eclat uwa nawapenda sana...
 
Hivi ukila ban pm nayo inakuwaje sasa
hahaha nimetoka kwenye uzi wa shangazi nimecheka jamaan bonny na raimundo ila paw kawasamehe tu walitakiwa wale ban kila kitu kipo banned unaona tu watu wamekuquote kufungua huwezi watu wanakulike huwezi fanya chochote
 
Back
Top Bottom