Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Anhaaa. Kwahiyo unakuwa notified ban ni ya muda gani??Hakuna mbinu, nilipigwa ya masaa matatu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaaa. Kwahiyo unakuwa notified ban ni ya muda gani??Hakuna mbinu, nilipigwa ya masaa matatu tu.
Hiyo huwa inatokea sometimes labda ni tatizo la kimtandao, ila ukipigwa ban ni kote unaambiwa hivyo.Qhkeeee!!!mbona sasa mie nabumiana nazo nyingi hizo??? Kwamba nalambwa ban bila kujijua?? Lakini hapana sababu nikifungua zingine nazikuta zinafunguka
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukumbuke kuwah mapema kesho thatha....tukapate na ubuyu[emoji125][emoji125]Kwa gwajima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha I'm engaged to jf, paw akiniban mwee mwee mwee
Haha kwa magoti hadi office za jf[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tutaandamana.
Ya ng'ombe au ya nani?ni mimi apa naenda kunyonya maziwa maserati
Sasa sijui mtu akipigwa ban yeye anapata faida gani. Uzi wenyewe sasa bora uwe wa maana sasa mfyuuuuu!!! Eti mtu hadi chai hanywi eti kakasirika kisa watu wamechat kwenye uzi wake, huyo si anahitaji daktari!!!Pole mpenzi.
Yaani kuna watu wako juu juu kuwachezea wenzao kindumbwendumbwe ili wapate ban
Mijitu hii inakera mpaka basi...unaomaa nao tu.
Potelea pote
Haha ahsante kipenzi. Leo nina adabu mnoooespy finally she is here [emoji23] [emoji23] vita dhidi ya ban haijawahi kumuacha mtu salama.
Pole Heaven Sent
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizo nyuzi za akina Maromboso muwe mnatuvuta mashati tuje kuzishambulia.
Haha na li tecno lako kubwaSasa sijui mtu akipigwa ban yeye anapata faida gani. Uzi wenyewe sasa bora uwe wa maana sasa mfyuuuuu!!! Eti mtu hadi chai hanywi eti kakasirika kisa watu wamechat kwenye uzi wake, huyo si anahitaji daktari!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata sikumwelewa. Nashukuru ulimalizika pasipo kutajwa
Yeah, ukifungua kwenye web ndio unakuta umeambiwa ni kwanini umepigwa ban na ni ya muda gani.Anhaaa. Kwahiyo unakuwa notified ban ni ya muda gani??
Hakujijua. Wakaweka na mpwa nikajua hii ni Daby na shoga Nguo relato tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulitajwa kimafumbo bwana, hukuona oooh, dota,mamdogo,bamdogo,auntie,my wii....... we unadhani humo unakosekana kweli!!!!
Nyota yako ni ya Bashite mkuudah! mimi tu ndo huwa sina bahati ya kupendwa..........wadada mungu anawaona tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]espy finally she is here [emoji23] [emoji23] vita dhidi ya ban haijawahi kumuacha mtu salama.
Pole Heaven Sent
Paprika nakupendaga pia cjui ni jinaa au nini lkn naku[emoji7]Asante Miss Natafuta!