WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Pole mpenzi.
Yaani kuna watu wako juu juu kuwachezea wenzao kindumbwendumbwe ili wapate ban
Mijitu hii inakera mpaka basi...unaomaa nao tu.
Potelea pote
Sasa sijui mtu akipigwa ban yeye anapata faida gani. Uzi wenyewe sasa bora uwe wa maana sasa mfyuuuuu!!! Eti mtu hadi chai hanywi eti kakasirika kisa watu wamechat kwenye uzi wake, huyo si anahitaji daktari!!!
 
Even Salty na Jovitha nawapenda nyie wadada mpaka naumwa[emoji7] [emoji7] [emoji8]
 
espy finally she is here [emoji23] [emoji23] vita dhidi ya ban haijawahi kumuacha mtu salama.
Pole Heaven Sent
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hs muoga huyooo, alikuwa mpoleee akaomba msamaha akawa anapita kimya kimya tu, hakuthubutu kukoment. Nilipigwa ban mimi tu.
 
Back
Top Bottom