Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hongera baba ClareUbaba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera baba ClareUbaba...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu mtoto kichwa ngumu kashindikana, asubuhi katoka church kaja home na kabinti nikatambulishwa eti wifi kidogo niwatoe baru na mwiko, nikawastahi, jioni hii kaja tena na mwingine. Yaani akirudia tena nitachomfanya atasimulia.
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu mtoto kichwa ngumu kashindikana, asubuhi katoka church kaja home na kabinti nikatambulishwa eti wifi kidogo niwatoe baru na mwiko, nikawastahi, jioni hii kaja tena na mwingine. Yaani akirudia tena nitachomfanya atasimulia.
Ndiohuo aliousema bamdogo ubuyu wa znz
Utabembeleza wangapi antie? Mwisho nawe uchanganywe humo utolewe manundu.ngoja niwaache
Yaani wanawake mtatuua sisi. Leo sherehe yetu tu hamtuachi tupumzike tusherekee kwa hamu
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Huyu ndiyo dawa yake
me mwenyewe siijui ndio nasikia juu juu kwa dada na shangazi sijui wanamuongelea yule wa janaNaona kama kuna stori hapa mjini sijaiskia mamdogo
Aaah kabisa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ushakuwa sugu
[emoji134] [emoji134]Wanawake tumeshambulishwa wa Afrika mashariki na kati, ila ushawahi tambulishwa mtoto?
Nitakata mtu chululuuaisee na waroho wa humu si watamkula
Pokea unipe bhasidada me ubuyu wa nini
bamdogo mpe sakayo ubuyuNdio
AiseeeeHaha ni wangu na mama klaree
Hivi hiyo sherehe inakuhusuje kwamfano!!!!Yaani wanawake mtatuua sisi. Leo sherehe yetu tu hamtuachi tupumzike tusherekee kwa hamu
kweli shangaziUtabembeleza wangapi antie? Mwisho nawe uchanganywe humo utolewe manundu.
[emoji3][emoji3]Wanawake tumeshambulishwa wa Afrika mashariki na kati, ila ushawahi tambulishwa mtoto?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama claree kakuandalia nini leo siku yenu?
Asante mamaHongera baba Clare