WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Member wote waliokuwa wananipenda walisha kufa kwa ngoma
 
Yaan mi sipendwi au?? Kwel najua yule mwanamke niliemuacha ndio kanilogezea,,nipenden na mimiiiiiii khaaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Ajitokeze mwanamke aniite Baby stress zangu ziishe jamani!![emoji125][emoji125][emoji125]

cf0006d959bdb08794c25371a746bfee.jpg
 
Uko makini sana aisee, ni wapiii alifuta???? Na kwa nini afute????

Morning Madam B
Morning my dear Sakayo

Juzi usiku wakati nalinda jukwaa nilihisi kuna utofauti.
Na kweli nikakuta baadhi ya comments hazipo

Si unajua wakishiba/akishiba futari ndio macho yanafunguka?....asa nahisi alishapiga futari na daku ndio akaona
Samtaim majanga hawa.

espy naona bado kakumbatiwa na MO11.
Shunie na Bonny nahisi waliondoka muda mmoja, sikuwaona ghafla.
Maserati sikumtia machono kutwa jana....sijui alikuwa wapi.
Nalendwa nilimuona usiku wa manane, itakuwa bado kalala tu.
Daby aliondoka na Valentina, maana niliona mzozo wamekamatana jukwaa gani sijui.

Wifi Khantwe....kaniamshie kaka yako, mwambie kumekucha, nataka niende gengeni.
 
Back
Top Bottom