Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji7] [emoji7] [emoji39] [emoji39][emoji8] [emoji8] [emoji8]
Basi hamna shida shemeji, ngoja nianze kutafuta fuso.
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na anachamba huyoooo, alinichambaga mie,dota na kaboom wote kwa mkupuo. Wifi tu nimepata.
Huwa ni kelele za maombi.Sio mim kasema shemeji yako jiran
Ha ha ha jiran kwahyo unakuwa unanena wa lugha ha ha ha aisee nmeghairi uje tu na mumeo kama kelele zako za maombi huwa zinakuwa za namna hyoJirani huwa ni kelele za maombi.
Basi fanya hivyo shemeji.Au niongee na kaka mwenye nyumba atukodishie lile semi tela lake?
Tulikula kichambo classic familia nzima tukabaki tunacheka tu.Hahaha
Si namuona tu hapo kwa avatar
Shemeji shemeji shemeji!!!
MmmmhNazijua zote kuanzia kiole mpaka kwegole
Sawa jirani ngoja nimsubiri arudi tuje wote.Ha ha ha jiran kwahyo unakuwa unanena wa lugha ha ha ha aisee nmeghairi uje tu na mumeo kama kelele zako za maombi huwa zinakuwa za namna hyo
Kwel vita ya shemej haijawah kuniacha salama kwel swahiba wa kunipiga vita kisa ujiran au unataka uzisikie mwenyewe hzo kelele
Natamani ningewaona jamaniTulikula kichambo classic familia nzima tukabaki tunacheka tu.
kila ikifika jioni kikinipiga upepo nakuwaza wewe tuMke mwenza ananilaumu nimekukaba sana, hebu leo jitahidi uende.
Kwel vita ya shemej haijawah kuniacha salama kwel swahiba wa kunipiga vita kisa ujiran au unataka uzisikie mwenyewe hzo kelele
Ha ha ha kwa promo ulilopiga acha aje tu aisee ila ntapata jiran mwengne yule binti yake si mnamuacha pale pale anabaki enhee?Wewe ulinitambia sana swahiba.