rhobi bhoke
Member
- Jun 2, 2017
- 9
- 2
Nawapenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha kwa promo ulilopiga acha aje tu aisee ila ntapata jiran mwengne yule binti yake si mnamuacha pale pale anabaki enhee?
Yule ana darasa lake la maombi siku hzi tuko nae hukoKuku anahama na vifaranga wake, tena yule hayo mambo hayajui kabisa.
Yule ana darasa lake la maombi siku hzi tuko nae huko
Sitaki nyumba yenye walinzi bwana.Shemeji hama tu huko, hii nyumba nayokwambia ina sound proof na geti kabisa, walinzi wapo wale wa Security nini sijui.
Jirani kwakweli nimeghairi, niatapata wapi mie jirani mwema kama wewe!! Hadi nguo unanianulia!Kwel vita ya shemej haijawah kuniacha salama kwel swahiba wa kunipiga vita kisa ujiran au unataka uzisikie mwenyewe hzo kelele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Natamani ningewaona jamani
Sitaki nyumba yenye walinzi bwana.
Ohooooo!! Sasa mume wetu utaniletea balaa na mke mwenza. Hebu jitahidi uende, kakae angalau mwezi mmoja tu.kila ikifika jioni kikinipiga upepo nakuwaza wewe tu
uliponirogea nikuongeze hela ukaniroge tena
Binti ashakwenda kwa mumewe.Ha ha ha kwa promo ulilopiga acha aje tu aisee ila ntapata jiran mwengne yule binti yake si mnamuacha pale pale anabaki enhee?
Ahsante kwa kunipenda hata mm pia nakupenda mnooo[emoji41][emoji7] [emoji7] [emoji39] [emoji39]
Mie nilikuwa nakuangalia tu jiran ambavyo ulikuwa unatenda dhambi ya usalitiJirani kwakweli nimeghairi, niatapata wapi mie jirani mwema kama wewe!! Hadi nguo unanianulia!
Kila siku anaenda na kurudBinti ashakwenda kwa mumewe.
Kukumbushia ipo...Nina wivu bado ujue!!!