Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Antie baadae kidogo ngoja niwajibike nisijetumbuliwa mbonde mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kabisa antie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Antie baadae kidogo ngoja niwajibike nisijetumbuliwa mbonde mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kabisa antie.
Haya antie tumika, sie tupo likizo.Antie baadae kidogo ngoja niwajibike nisijetumbuliwa mbonde mie
Aisee hongera my antieHaya antie tumika, sie tupo likizo.
Sawa Jiran we nenda tu huko ngoja nianze kutafuta Jiran mpya wa karibuNdio jirani, we ukipunguziwa kodi haushawishiki?
Kwani nimesema naenda?Sawa Jiran we nenda tu huko ngoja nianze kutafuta Jiran mpya wa karibu
Ndiyo kakaYou are back!
Ha ha ha jiran kitufe cha kubebmbelza kilishaharibika zaman sana na hv ushaona punguzo wewe na pesa tena ntajichosha tuKwani nimesema naenda?
Jirani hata haunibembelezi!![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mimi nakupenda sana pia.Ama kweli sipendwi mie, hata hakuna mtu aliyenitaja: basi mie nawapenda hawa wafuatao:
mshana jr, myoyambendi , Mulhat Mpunga , Saint Ivuga , Ngoda95 , betlehem
Wanaume wa siku hizi hatujuagi staki nataka, ukikataa tu mara moja tunapotezea mazimaKwani nimesema naenda?
Jirani hata haunibembelezi!![emoji24] [emoji24] [emoji24]
hahahaahahaahahahahCHIKIRA MTABARI unanitaka ???? Hahahahaha
Pamoja sana CHIKIRA MTABARI one love!!hahahaahahaahahahah
karibu lovely DadaNdiyo kaka
Kwel kabisaNinaowapenda humu mnajijua...
HayaWanaume wa siku hizi hatujuagi staki nataka, ukikataa tu mara moja tunapotezea mazima
Jirani nibembeleze tu hata kidogo.Ha ha ha jiran kitufe cha kubebmbelza kilishaharibika zaman sana na hv ushaona punguzo wewe na pesa tena ntajichosha tu
Ha ha ha jiran hvi unafikr nan atakuwa ananiwashia ile taa ya nje nikiwa sipo au unafikr sikumbuk zile vurugu zako za kila mwiso wa mwezJirani nibembeleze tu hata kidogo.
Mhh kweli? Maana toka umepata hako kamchepuko mnakobebishana tabu tupu hatupumuiniwe muwazi tu
uwezo wa kumtegua mtu sina shahidi yupo