WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Hahahahaha kumbe unamaanisha.loh!
Bonny hakuna chochote kinachoendelea kati yangu mimi na @mondray.mimi na mond ni marafiki wa kawaida kabisa.hilo naliweka wazi

Tuendelee na utani
HIVI NDIO VISA VYA WANAWAKE SASA..
Unaweza kumthibitishia Bonny hayo maneno au ww unahisi kakuamini..
 
Hahahahaha kumbe unamaanisha.loh!
Bonny hakuna chochote kinachoendelea kati yangu mimi Mondray mimi na mond ni marafiki wa kawaida kabisa.hilo naliweka wazi

Tuendelee na utani
Huyu Kijana utamuua kwa presha mama embu mfikirie tena inaonekana bado hajaamua kukuachia
 
HIVI NDIO VISA VYA WANAWAKE SASA..
Unaweza kumthibitishia Bonny hayo maneno au ww unahisi kakuamini..
Bonny mwaya kama unataka nirushia ndoano nirushie tu nipo tayari kwa kudakwa.achana na huyu aendelee kutafuta makaratasi ya uthibitisho
 
Nitamiss tu nilivyo mzoea na kumpenda but sitafariki.
Hiyo ni kazi yenu nyie wa Darisalama..
Hahahahahahaha my darling,unaiacha jf saa ngapi nianze kutafuta madekio ya kudeki chumba chako kwa ajili ya mgeni mpya??
 
Back
Top Bottom