Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejisahau. Mi mke wa mtu tayari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nasbr nimuone my WiFi!!
Ntamtumia ata kwa EMS ataipata tuAnhaaa. Sasa mpelekee shangazi Evelyn Salt halafu uje tuzungumze
Ngoja nianze kusogea hapo PM [emoji5]Anhaaa. Sasa mpelekee shangazi Evelyn Salt halafu uje tuzungumze
Pole kiongoz"moyo wangu sukuma mpenz damu iachie mishipa"
mi namajonz ya kuachwa bhana so nawaona wanawake wote wana moyo mmoja.
lakini I MISS YOU all people.
"moyo wangu sukuma mpenz damu iachie mishipa"
mi namajonz ya kuachwa bhana so nawaona wanawake wote wana moyo mmoja.
lakini I MISS YOU all people.
Uchochezi gani mkuuUzi huu unaweza kuleta uchochezi
Ebu mtaje mamy nikununulie zawadi.Nampenda mod mmoja hivi...
Mapenzi ya watu yataingia nuksi hapaUchochezi gani mkuu
Anaitwa @daby,yani nampenda sana huyu mwanaumeEbu mtaje mamy nikununulie zawadi.
Mmh yaani wewe.Anaitwa Daby ,yani nampenda sana huyu mwanaume
Akuu paw simjui mieMmh yaani wewe.
Huyo mod mwambie nitampiga Ban au ni paw?
Yani ungejua vile nakupenda Daby wangu hata usingeniwazia hayoNamwachia Mungu hili yeye ndiye muweza maana wewe tunakoelekea huku kwa kuwapenda mod sio kuzuri.
Au unataka kamoyo kangu kabust kama tube ya phonex ya Khantwe mamy?