WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

Status
Not open for further replies.
Mkuu hujamuelewa muanzisha thread.
Ni kuwa anataka kupewa kazi ya u-mod ili aweze kufaidi vizuri yeye na "magwiji wenziye wa jukwaa hili"
Jamani wahusika naombeni huyu jamaa apatiwe tu hiyo kazi.
Akishindwa, akaanzishe forum yake.

Mkuu sitaki na sijawahi kutaka kazi ya u mod. Sina muda huo. Hoja yangu ilikuwa ni sisi wenyewe kuji moderate wenyewe.

Kwa kweli inaboa sana, kuna wakati ukiingia humu unasoma tu jina la mtoa mada na kufungua sababu unajua huyu hawezi toa za ajabuajabu,

kumbe ndio maana kuna threads zingine nzuri lakini zinakosa wachangiaji kwa sababu watu mnaangalia majina. Sio vizuri hivyo.

Reactions: EMT
EMT

Kinachokukasirisha ni kuwa watu wanaomba ushauri wasiouhitajia tu au?

Hakuna ubaya kuanzisha thread ambayo itaibua mijadala iwe ni kweli au uongo.

Sijaona mantiki ya posts kufutwa just kwa kuwa mtu ameomba ushauri unaotofautiana ndani ya siku chache. Ni kuingilia uhuru wa kuchangia. As long as hakujavunjwa sheria waachwe waandike watakacho, asieipenda mada asichangie tu

Mkuu sitaki na sijawahi kutaka kazi ya u mod. Sina muda huo. Hoja yangu ilikuwa ni sisi wenyewe kuji moderate wenyewe.

Sisi wenyewe kujimoderate wkt umenikomalia mimi kana kwamba nimeua!
Usilazimishe mtazamo wako uwe Torati.

Mbona nilivyom question kwenye thread husika kuwa threads zake mbili zinazojicontradict hakusema kuwa ana wake zaidi ya mmoja? Hata kwenye hii thread si angesema tuu ana wake zaidi ya mmoja? Is that so difficult?

Lets say kadanganya so what?

Mbona mnapenda kujikera na mambo madogo hivo? Unajuaje kuwa wengine hawadanganyi just kwa sababu wanajua kustick na uongo wao mmoja kola siku tu?

I WOULD RATHER START MY WEEKEND THAN WASTING MY TIME ARGUING WITH .........temu.
Kwa herini wapendwa.
SAMAHANI KWA YEYOTE NILIYEMKWAZA KWA NAMNA YOYOTE ILE.
Wishing you all a nice weekend.
Luv you all.
Bye!

kweli kabisa VOR, watu wamezidi kuwachunguza watoa hoja na ndio maana wengi wakiwa na matatizo ya ukweli huamua kuja na ID nyingine. Sio vizuri kabisa. Tuwe tunachangia hoja, ukitaka kumchunguza mtu jf kama anasema ukweli au uongo ni ngumu sana.

Kwa kweli mimi naomba sana Mods waangalie sana hii issue..., kuondolewa kwa posts kuwa pale tu kama sheria imevunjwa... tukianza kuchaguliana jinsi ya kupost.., mtafanya wengine tuwe wasomaji tu, na kushindwa ku-post kile ambacho tunataka kukielezea..... where is daring and speaking openly if that includes shutting people mouth or telling them how and what to post... (ukizingatia mtu hajavunja sheria)

Hapo I respect your opinion lakini sikubaliani nayo unless kichokuwa posted ni hypothetical. kama alikuwa amepost hypothetical question kama wengine wanavyofanya, sidhani kama kuna tatizo. Lakini kama mtu anakuja kuomba ushauri juu ya jambo tatizo (mke kupiga kelele anapofika kileleni) anashauriwa halafu few days anakuja tena kuomba ushauri juu ya kushindwa kumfikisha kumfikisha mkewe kileleni, lazima mtu ajiulize.

Na huyo mod aliefuta hiyo thread naye atakuwa mlugaluga.iweje aibuke tu afute wakati thread haina matusi na wala haijavunja sheria?

tupo wengi tu tunaodanganya.

Kisha tutaambiwa mada haina mantiki kwa sababu kasema uongo, wakati hao wachangiaji nao wanasema uongo all the time.

Hatuwezi kukaa tukaamua hichi kina mantiki na hiki hakina kwa sababu watu wanatofautiana kimtazamo, kimaendeleo, kielimu, malezi na mengineyo

Mtu akiona mada haina mantiki asepe aiache itakufa wenyewe tu

Btw mada ya Jana ya The Finest kwa mfano ilikuwa na mantiki gani ambayo ilichangiwa na maalwatan wote na kujazwa picha kede wa kede?

Tusitafute kujiona sisi bora

Reactions: EMT
Na huyo mod aliefuta hiyo thread naye atakuwa mlugaluga.iweje aibuke tu afute wakati thread haina matusi na wala haijavunja sheria?

Mie nafikiri hata wachangiaji huchangia saana Thread kufutwa hata kama haina matusi.... Wachangiaji hutoa baadhi ya maneno ambayo kwa kweli ni mazito....

If they're not breaking any JF rules why the other thead of yours was deleted then? Myself I am against censoring free speech. That is why I am opposing the new JF system of moderating MMU. Don't get me wrong, I do believe that people have the right to express themselves, voice their opinions, and criticize others. However, I think there is a difference between mocking and ridiculing others, and criticizing them in a respectful and decent manner. I personally feel that nowadays, many people abuse their freedom of speech, especially over the internet. I believe that it is most common over the internet because a lot of the time, the identitities of people are hidden. This allows people to say whatever they want and still remain anonymous.

Kuna mada unakuta pages 15 na zaidi ni ma gwiji tu wanajibizana

'aaaawww u r so kind'
'not as much as you'

na mengineyo ya namna hiyo ambao hao waasisi wa jukwaa wanashiriki kikamilifu.

Hizi Kama kutumia mantiki ya Gaijin zingefaa kufutwa zaidi kuliko zinazobuni scenario hasa za maisha ya kawaida ya kila siku.

But mantiki ya Gaijin na member mwengine yoyote haihusiki hapo na ndio maana thread za aina hiyo zimejaa kwenye archives

Let ppl express themselves as they see fit, hii ya kufata mantiki ya fulani ni kuoneana kimtindo

Kweli kabisa. Uniqueness ya JF ni freedom inyotoa kwa members. Mwisho tutaomba ku moderate comments maana kama mtu ni mpuuzi anaweza akaandika upuuzi wake kwenye comments. Naamini sana kwenye uhuru. Mkianza moderation mtapoteza members.

Ni very subjective kusema hii thread ina point hii ina pumba. Hata kama mtu ametunga bado yaweza kuwa tatizo lina exist kwa mwingine kwa hiyo sioni tatizo. Kama unajua nani anatoa thread za maana (kwa mtazamo wako) basi ni heri tu ukapotezea thread za usowajua au unaowajua ni wazushi. Kwa maana kwamba usizifungue.

Sawa mkuu next nitawaachiwa hao "wajinga" waindeleze. Kwa sababu thread itakuwa ya kijinga na wao ni wajinga I am sure wataindeleza? Au kuna ugumu hapo?

halafu kuna mada zingine zinazarauliwa ila ni nzuri, kuna watu wanaomba ushauri wamekwama ila unakuta wamechuniwa, muda huo huo ikianzishwa thread nyingine hata kama ni ya masihara ilimradi imeanzishwa na member anayeaminiwa hatoi pumba (blackberry atasibitisha)itachangiwa hadi na watu waliopotea jf.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…