EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
- Thread starter
- #61
Mkuu hujamuelewa muanzisha thread.
Ni kuwa anataka kupewa kazi ya u-mod ili aweze kufaidi vizuri yeye na "magwiji wenziye wa jukwaa hili"
Jamani wahusika naombeni huyu jamaa apatiwe tu hiyo kazi.
Akishindwa, akaanzishe forum yake.
Mkuu sitaki na sijawahi kutaka kazi ya u mod. Sina muda huo. Hoja yangu ilikuwa ni sisi wenyewe kuji moderate wenyewe.