Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly mkuu jf members wengi ni wasiri kujulikana.nimeshawshi meet na mmoja tu...waliopo dar tuonane jmpili mlimani city....Nilichogundua kwa post hii, unaweza ishi nyumba moja na mwana jf lakini usimjue. Btw mie nipo Magu.
Me nauza dona. Niko hapa igogo mchafukuoga juu ya uwanja.napatika wilaya ya Igoma, maeneo ya Mbagala tanki bovu hapa..
Biashara yangu nauza unga wa sembe.
aaanhaa..! hapo napafahamu si ndio karibu na ule mti wenye mizizi!?Me nauza dona. Niko hapa igogo mchafukuoga juu ya uwanja.
Hahahaha tete mdogo ake na marehemu kai. Me nakaa kwa juu kama unamfahamu sumbu kitila.... tuko jirani naehuyu atakuwa karibu na kwao tete mcheza mpira
Ndio kunakibanda huwa wanapika chakulaaaanhaa..! hapo napafahamu si ndio karibu na ule mti wenye mizizi!?
Sio kule wanapokaa watu wa msoma? (Wakurya)Nipo capri point nyuma ya kontena, natafuta Baby awe rafiki Wa kupeana kampani, ndoa itakuja asiwe na haraka