WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

Tunawakimbia kuonana na baadhi ya wana JF sababu mkionana hawanunui drinks bana!
Isha onana nao wawili wao ni kugongea tu drinks,hawanunui aisee
Siji kutana tena na mwana JF niliapa
 
IPO igogo hapa jirani kabisa na kiwanda cha voil pia karibu na while ya azimio..karibu sana
 
Ndo wale wanautumiwa kuchunguza watu wapo maeneo gani!
Be keen!
 
Ndo wale wanautumiwa kuchunguza watu wapo maeneo gani!
Be keen!
Sie wa Mwanza tunatafutana kwa amani my ndugu, na pia members wa JF - Mwanza hatuna matatizo wala ugomvi na sheria za nchi yetu
 
Back
Top Bottom