- Thread starter
- #141
Hayo tuachie tu wenyewe wana Mwanza dadaMkishafahamiana iweje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo tuachie tu wenyewe wana Mwanza dadaMkishafahamiana iweje?
Mkishafahamiana iweje?
tehe tehe tehe si unajua sie wasukuma ni wakarimu ahahahahahahWapeane maupendo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunajua wenyewe
Wapeane maupendo!
Upuuzi tu.
Upuuz kwa kuwa umeshakata ringi,,,,,,waache vijana wa enjoy!!!
Hamjuwi ku enoy mpaka muwe members wa JF?
Haya mawazo nimeyapenda bure.Nanyie anzisheni jf mwanza party hahaha kila siku wa dar tu! Heheheeeeeeeeeeeee
Shukrani sana Mkuu.Karibu sana Makoroboi
Akhsante sana mkuu mtoa madahabari wana JF,
Naomba kama wanaJF waishio Mwanza tufahamiane. Namaanisha wanaoishi Mwanza sio waliozaliwa Mwanza
karibuni
Upo Buswelu kona, zembelwa, wilaya au?Mie niko Buswelu ndugu yangu