WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

habari wana JF,

Naomba kama wanaJF waishio Mwanza tufahamiane. Namaanisha wanaoishi Mwanza sio waliozaliwa Mwanza

karibuni

Karibu, upo pande gan! Mm nipo nyegezi kona hapa.

Mkuu nilikuwa mkazi wa Mkolani ila nimenuia kuhama Mwanza maana sio sehemu salama tena ya Kuishi.

Mie niko Buswelu ndugu yangu

Unaogopa hayo mauaji mkuu? huyo ni Ibilisi ambaye yuko kila sehemu sio Mwanza tu, karibu tena Mwanza

WANA JF WAISHIO MARA-MUSOMA TUFAHAMIANE.
 
hahaa no,unanyooka na barabara ya gbp shell mpaka karibu na nyumba iliyoungua

Daah! wewe jirani yangu kabisa, nakumbuka tulicheza sana kombolela kwenye hiyo nyumba iliyoungua, mwenye hiyo nyumba anaitwa Ngola
 
Daah! wewe jirani yangu kabisa, nakumbuka tulicheza sana kombolela kwenye hiyo nyumba iliyoungua, mwenye hiyo nyumba anaitwa Ngola
aiseee kama umecheza hapo kombolela basi nakujua balaaa,n pm jina lako nikwambie mm nani
 
Back
Top Bottom