WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

Aaah tafadhali basi mimi hiyo ndio mitaa yangu hapo hapo remy hotel mara kibao napitapo hata sio muda nimepita hapo!

Sure, basi mimi ndo niko hapo mkuu.

Sema ni kuja kulala tu mausiku, si unajua kazi tena.
 
Nyie tajeni tajeni tu mnapoishi, kesho na kesho kutwa tuwasikie kwenye breaking news na ma R.I.P kibaoooo.

I was just saying.
????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Nyie tajeni tajeni tu mnapoishi, kesho na kesho kutwa tuwasikie kwenye breaking news na ma R.I.P kibaoooo.

I was just saying.

Acha woga wewe, hawa verified user wote wangesha-RIP
 
Back
Top Bottom