- Thread starter
- #21
Naijua hata juzi nilileta wageni wangu hapo, ila key holder zina jina lingineMimi niko Hotel inaitwa Remmy, U-Turn.
Nina kama mwezi na nusu, niko kikazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naijua hata juzi nilileta wageni wangu hapo, ila key holder zina jina lingineMimi niko Hotel inaitwa Remmy, U-Turn.
Nina kama mwezi na nusu, niko kikazi.
Naijua hata juzi nilileta wageni wangu hapo, ila key holder zina jina lingineMimi niko Hotel inaitwa Remmy, U-Turn.
Nina kama mwezi na nusu, niko kikazi.
Aaah tafadhali basi mimi hiyo ndio mitaa yangu hapo hapo remy hotel mara kibao napitapo hata sio muda nimepita hapo!
Naijua hata juzi nilileta wageni wangu hapo, ila key holder zina jina lingine
????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????Nyie tajeni tajeni tu mnapoishi, kesho na kesho kutwa tuwasikie kwenye breaking news na ma R.I.P kibaoooo.
I was just saying.
Nyie tajeni tajeni tu mnapoishi, kesho na kesho kutwa tuwasikie kwenye breaking news na ma R.I.P kibaoooo.
I was just saying.
Mimi naitaka hiyo R.I.P nipo SWEYANyie tajeni tajeni tu mnapoishi, kesho na kesho kutwa tuwasikie kwenye breaking news na ma R.I.P kibaoooo.
I was just saying.
Wasi wasi ndio akili.Acha woga wewe, hawa verified user wote wangesha-RIP
R.I.P Melkiorysaranga,Mimi naitaka hiyo R.I.P nipo SWEYA
!!!????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Nipo mwanza pia bi mdadahabari wana JF,
Naomba kama wanaJF waishio Mwanza tufahamiane. Namaanisha wanaoishi Mwanza sio waliozaliwa Mwanza
karibuni
Nazani ulipita nyegezi siku moja tu [emoji12]Nipo nyegezi
He heeNazani ulipita nyegezi siku moja tu [emoji12]
Duhh....[emoji15]Mkuu nilikuwa mkazi wa Mkolani ila nimenuia kuhama Mwanza maana sio sehemu salama tena ya Kuishi.