WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

Nilichogundua kwa post hii, unaweza ishi nyumba moja na mwana jf lakini usimjue. Btw mie nipo Magu.
Exactly mkuu jf members wengi ni wasiri kujulikana.nimeshawshi meet na mmoja tu...waliopo dar tuonane jmpili mlimani city....
 
napatika wilaya ya Igoma, maeneo ya Mbagala tanki bovu hapa..

Biashara yangu nauza unga wa sembe.
 
napatika wilaya ya Igoma, maeneo ya Mbagala tanki bovu hapa..

Biashara yangu nauza unga wa sembe.
Me nauza dona. Niko hapa igogo mchafukuoga juu ya uwanja.
 
Nipo capri point nyuma ya kontena, natafuta Baby awe rafiki Wa kupeana kampani, ndoa itakuja asiwe na haraka
 
Jamani me natafuta girlfriend kabisa mwenye kunipokelea ombi langu tukufu ani PM
 
NIPO GHANA KARIBU NA SHULE YA TAQWA HIGH SCHOOL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…