WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

Wana mwanza kesho jumamosi nitakuwa Ccm kirumba kucheki game yanga na mbao. Naondoka j2 asubuhi kurudi Iringa kupitia Dodoma/ mtera.
Nimefikia jirani na kontena Victoria Palace. Kuna kitimoto kixuri sana na bia baridi.
Mza pazuri sana. Totoz xiko vizuri. Hongera Mza.
 
Ohoooo kumbee mimi nipo maeneo ya nyegezi stand alie karibu ani pm tuonaneeeee
 
Kwa sasa Niko mtaa wa gana nyuma ya shule ya taqwa high.. Ukifika hapo utaona maduka mawili we ulizia namtafuta anko.. Utaoneshwa moja ya duka ndio utanipata
 
Niko nyegezi kuna kilodge kinaitwa keza...napiga piga majambo

Nera ndo maskani
 
Niko MS hotel hapa kona ya Bwiru nimekuja kibaruani natakiwa kuriport jumatatu ila umbea wangu nimeingia leo nataka nikaanzie diamond alafu nijue inakuaje!!!!
 
Niko MS hotel hapa kona ya Bwiru nimekuja kibaruani natakiwa kuriport jumatatu ila umbea wangu nimeingia leo nataka nikaanzie diamond alafu nijue inakuaje!!!!
Kama uko free tuonane hapa gana jioni ya leo
 
Kwa sasa Niko mtaa wa gana nyuma ya shule ya taqwa high.. Ukifika hapo utaona maduka mawili we ulizia namtafuta anko.. Utaoneshwa moja ya duka ndio utanipata

Aisee umenikumbusha kipindi nasoma taqwa, tulikua tunaenda kunywa soda na sambusa kwenye moja ya maduka hapo juu, mbaya zaidi tulikua hatulipi si unajua zile mishe za ki-uanafunzi.
Alikuepo jamaa anaitwa side ndio alikua muuza duka nadhani tulimfilisi.
 
Reactions: lup
Yep hapo napo wanajitahidi kidogo kwa kitimoto,ila komesha yake ni FlexZone pale isamilo karibu na makao makuu ya halotel[emoji39] [emoji39] mdudu anachomwa vizuri hadi unachanganyikiwa
 
Mwanza movie rock city mall..kila siku wahindi na wazungu vitu vizuri weusi wachache tunafaidi
 
ukimwi wake ukoje???

(joke)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…