Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimolha jovithaAhsante sana.....
Mwadilaaa
Kontena kwa Mzee Korosso?Nipo capri point nyuma ya kontena, natafuta Baby awe rafiki Wa kupeana kampani, ndoa itakuja asiwe na haraka
Acha hixo.Mbaya zaidi akawa ni dingi ako.alafu umeshamkoromea sana humu.
Mola sana kineheUlimolha jovitha
Nasemaje baada ya hapo?Mola sana kinehe
Utakuwa na clinic Sekou ToureAaah tafadhali basi mimi hiyo ndio mitaa yangu hapo hapo remy hotel mara kibao napitapo hata sio muda nimepita hapo!
Kama uko free tuonane hapa gana jioni ya leoNiko MS hotel hapa kona ya Bwiru nimekuja kibaruani natakiwa kuriport jumatatu ila umbea wangu nimeingia leo nataka nikaanzie diamond alafu nijue inakuaje!!!!
Sorry mkuu nilitingwa sana na mambo si unajua ugenini nikikaa sawa nakutafuta mkuluKama uko free tuonane hapa gana jioni ya leo
Kwa sasa Niko mtaa wa gana nyuma ya shule ya taqwa high.. Ukifika hapo utaona maduka mawili we ulizia namtafuta anko.. Utaoneshwa moja ya duka ndio utanipata
Yep hapo napo wanajitahidi kidogo kwa kitimoto,ila komesha yake ni FlexZone pale isamilo karibu na makao makuu ya halotel[emoji39] [emoji39] mdudu anachomwa vizuri hadi unachanganyikiwaWana mwanza kesho jumamosi nitakuwa Ccm kirumba kucheki game yanga na mbao. Naondoka j2 asubuhi kurudi Iringa kupitia Dodoma/ mtera.
Nimefikia jirani na kontena Victoria Palace. Kuna kitimoto kixuri sana na bia baridi.
Mza pazuri sana. Totoz xiko vizuri. Hongera Mza.
ukimwi wake ukoje???Wana mwanza kesho jumamosi nitakuwa Ccm kirumba kucheki game yanga na mbao. Naondoka j2 asubuhi kurudi Iringa kupitia Dodoma/ mtera.
Nimefikia jirani na kontena Victoria Palace. Kuna kitimoto kixuri sana na bia baridi.
Mza pazuri sana. Totoz xiko vizuri. Hongera Mza.