MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
ntakuwa nakufaham,nmekulia mwananchi,uko mwananchi upande gnNipo mwananchi, karibuni sana
Karibu Nyegezi-kijiwenintakuwa nakufaham,nmekulia mwananchi,uko mwananchi upande gn
ahsante mkuu,ahsante sana kiongoziKaribu Nyegezi-kijiweni
Hahahaaaaa hadi leo bado nipo haiR.I.P Melkiorysaranga,
Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Karibu Arusha....The Half London ya Tz..Mkuu nilikuwa mkazi wa Mkolani ila nimenuia kuhama Mwanza maana sio sehemu salama tena ya Kuishi.
Aisee,leo nilikuwepo hapo kama mchanaKaribu nyegezi tema hotel
Akanana mimi jirani yakoNipo nyegezi Karibu na stendi kuu ya mabasi...welcome
Karibu National.
Nipo nyegezi
habari wana JF,
Naomba kama wanaJF waishio Mwanza tufahamiane. Namaanisha wanaoishi Mwanza sio waliozaliwa Mwanza
karibuni
Karibu, upo pande gan! Mm nipo nyegezi kona hapa.
Mkuu nilikuwa mkazi wa Mkolani ila nimenuia kuhama Mwanza maana sio sehemu salama tena ya Kuishi.
Mie niko Buswelu ndugu yangu
Unaogopa hayo mauaji mkuu? huyo ni Ibilisi ambaye yuko kila sehemu sio Mwanza tu, karibu tena Mwanza
Itakuwa mwananchi kwa fortes.. au ngasseco!!!ntakuwa nakufaham,nmekulia mwananchi,uko mwananchi upande gn
hahaa no,unanyooka na barabara ya gbp shell mpaka karibu na nyumba iliyounguaItakuwa mwananchi kwa fortes.. au ngasseco!!!
hahaa no,unanyooka na barabara ya gbp shell mpaka karibu na nyumba iliyoungua
hahaha hahaa Ngw'anisaleMimi niko Ikungulyabhashashi ila huwa nakuja kuja mjini kupiga picha pale kwenye samaki
aiseee kama umecheza hapo kombolela basi nakujua balaaa,n pm jina lako nikwambie mm naniDaah! wewe jirani yangu kabisa, nakumbuka tulicheza sana kombolela kwenye hiyo nyumba iliyoungua, mwenye hiyo nyumba anaitwa Ngola