WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

ha ha ha haaa!! hivi kumbe na mimi niko mwanza!! haya karibuni nyote mwanza.
 
Mm niko mahina ya kanyerere maeneo ya kibaoni,ni mchoraji mzuri sana kwenye saloon za kike na kiume,na chochote kile utakachokua ukihitaji kwenye huduma ya uchoraji

Ni pm kwa maelezo zaidi na mengineyo mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom