Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Nipo hospitali ya kitete hapa
Ebu njoo hapa BelmonteNi matumaini yangu mu wazima,
Kwa watumiaji WA mtandao pendwa WA Jf mliopo TBR karibuni tupige mastori mbalimbali, WA mikoa mingne karibuni pia
Mmmh kuku zao tu ndio nazipendaa vingine siliNimekula wali,samaki na nsansa hapo juzi mchana
Luca chips zake tamu jamaniiiNimechil mitaa ya Kariakoo nawaza kwenda Uhazili kwa Luca nikapige kiepe
Asa mbona hapo kisamvu sikioniHome sweet home, mie mzaliwa wa huko kitete hosptl japo kwa sasa sipo huko, baba yangu marehemu mzee........ Alikuwa akiishi hapo ng'ambo, mimi na mama yangu tukiishi mabatini, bibi na babu mzaa mama wote marehemu wakiishi isevya, bibi mzaa baba akiwepo kazima na babu r.i.p mwenyewe wa kujiita lord lucky man akiishi national..
Marehemu mshua akizikwa makaburi ya ruwenzori kule.. Japo niliondoka mdogo sana huwa nakuja kutembea, mwaka majuzi nilitembelea mgahawa mmoja hapo km unaenda stand nilikula msosi m1 matata kilichonikosha ni kile kisamvu chake, kisamvu kimenoga karanga hatariView attachment 1039394
Sent using my nokia ya tochi
Ndo huku mkuu, karibu sanaulyankulu si kule kwa warundi?,niliwahi fika yaani kama umefika kwa kagame vile
Hatari..ila Luca kiboko,kuna mpemba alifungua chips pale karibu na Luca alikuwa anapika chips na maudambwidamwi ya kipemba..wee baadaye zikawa zinamuozea na wateja wanazipita tu,si tukasema Luca keshamfanyia mambo😂😂
Ahahahhahaha anatengeneza vizuri zinakuwa tamu sana sema mafutaa anaweka mengiii,,kuna yule babuu anatengeneza kuku ,kuku wake watamu mno yupo ile njia ya kwenda mwanza nimepasahau jina,sijui kama hilo chimbo unalijua anatengenezea kwake watamu sijawah kula toka nizaliwe ule utamuP
Hatari..ila Luca kiboko,kuna mpemba alifungua chips pale karibu na Luca alikuwa anapika chips na maudambwidamwi ya kipemba..wee baadaye zikawa zinamuozea na wateja wanazipita tu,si tukasema Luca keshamfanyia mambo[emoji23][emoji23]
Jirani nipo hapa shamba la nyege karibu kabisa na WhatsApp!Ebu njoo hapa Belmonte
Mkuu umenikumbusha abuja,kila nikifika Tabora huwa lazima ningonge abuja hapo bwalo
Enhee..Isevya kwa ba Kaba🤣🤣🤣Ahahahhahaha anatengeneza vizuri zinakuwa tamu sana sema mafutaa anaweka mengiii,,kuna yule babuu anatengeneza kuku ,kuku wake watamu mno yupo ile njia ya kwenda mwanza nimepasahau jina,sijui kama hilo chimbo unalijua anatengenezea kwake watamu sijawah kula toka nizaliwe ule utamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko wote boss, nk kaliua mjini..Tuliopo huku Ulyankuru (Kaliua) tunaruhusiwa kuchangia hapa au ni kwa waliopo mjini Tabora tu?
Miembe bado ipo,, ila barabara sikuhiz zimeboreshwa kweliNilizaliwa hospitali ya Kitete ila huwa nina hamu ya kujua mitaa ya Tabora, nachokumbuka ni enzi za treni unashuka unapita Tabora, uwanja wa Vita ...barabara zina miembe pande zote mpaka Kanyenye (sikumbuki kingine zaidi ya hicho au kale kajengo kapo mlimani sijui panaitwa Cheyo)
Haujawahi kuniangusha jirani...Jirani nipo hapa shamba la nyege karibu kabisa na WhatsApp!